 
  Welcome to my blog let advitise together in your business here , people looking how to resolve their finance problem   This right moment the only    Leo tupo kujibu maswali magumu yanayo wasumbua watu wengi Sana mwenye maisha ya kila siku hasa kipesa zaidi   Why most of the people suffer financially is because they spend a lot of time at school and learn nothing about money so they work for money and not how to find money     Problem of people is how they finance them selves (nidhamu katika fedha) watu bado hawajui kutofautisha Mambo yafuatayo     Matumizi ya lazima   Matumizi yasiyo ya lazima   Uwekezaji   Na akiba   Nidhamu katika fedha inaanza na matumizi yasiyo ya lazima  kupanda tax sehemu ya bajaji kupanda boda boda sehemu ambayo siku zote anatembea kwa miguu     Anza kutembea kwa miguu ukiwa na hela ya boda boda ukiwa na hela ya tax tembea kwa bajaji na ukifika levo ya kununua gari tembelea kwa boda boda   Matumizi ya lazima hayakwepeki lakini yanapunguzwa tu   A...
