Welcome to my blog let advitise together in your business here , people looking how to resolve their finance problem
 This right moment the only 
Leo tupo kujibu maswali magumu yanayo wasumbua watu wengi Sana mwenye maisha ya kila siku hasa kipesa zaidi
Why most of the people suffer financially is because they spend a lot of time at school and learn nothing about money so they work for money and not how to find money

Problem of people is how they finance them selves (nidhamu katika fedha) watu bado hawajui kutofautisha Mambo yafuatayo

Matumizi ya lazima
Matumizi yasiyo ya lazima
Uwekezaji
Na akiba
Nidhamu katika fedha inaanza na matumizi yasiyo ya lazima  kupanda tax sehemu ya bajaji kupanda boda boda sehemu ambayo siku zote anatembea kwa miguu

Anza kutembea kwa miguu ukiwa na hela ya boda boda ukiwa na hela ya tax tembea kwa bajaji na ukifika levo ya kununua gari tembelea kwa boda boda
Matumizi ya lazima hayakwepeki lakini yanapunguzwa tu
AKIBA na UWEKEZAJI
watu wanashindwa kutofautisha akiba na uwekezaji AKIBA sio uwekezaji akiba Ni kwa ajiri ya dharula tu sio uzalishaji Wala kipato zinatia Hilo

Uwekezaji Ni kipato na Ni uzalishaji  watu wote wanatakiwa kujifunza Hilo  hasa zipo njia nyingine za kuwekeza sio lazima uwe na biashara kubwa kila kitu kina stegi zake
Anza kupitia na kujua current exchange mapema Ni moja Kati ya uwekezaji maana Dola kila siku inapanda dhamani
Ujasiria Mali hauitaji akili nyingi Ila attention na focus of people is on the basis of enterpreneurship

Comments

Popular posts from this blog

Miss Kilimanjaro