El kun na bonge la ngoma "pull over"

                                                    EL KUN AJA NA NGOMA MPYA 👉pull over ♬
     

Hapa tunamzungumzia el kun Kama mwanamziki mpya anayekuja kwa kasi na sauti ya pekee kwenye gemu , pia mwanamziki huyu aaichia ngoma yake Kali "pull over" ambayo inafanya poa Sana 
El kun kwa sauti yake ya mvuto na mahaba ,aonekana kuwa na mashabiki wengi Sana 
Shooting ya video yake ya pull over inaonekana kuwa poa Sana hasa wanawake kuonekana kukafa poa Sana kwa kukata viuno kwa ufanisi mkubwa 
El kun anafanya  kazi na moja ya bendi inayo fanya poa Sana pia muonekano wake unawavutia watu wengi Sana , na kawaacha watu na maswali mengii!!!                                                                                                                        

Soma na samsonareason news updates🎆



Comments

Popular posts from this blog

Miss Kilimanjaro