Nicky versace aachia ngoma mpya
Nicky versace aachia ngoma mpya
♬♪♬♫
Moja Kati ya msanii maarufu Sana kwa jina la Nicky Versace aachia ngoma Kali Sana inayo enda kwa jina la wengine wapo ,msanii huyu anafanya poa Sana hata ukiangalia ngoma zake za nyuma daaaaaaaaa Cha msingi follow account yake YouTube kisa subscribes update update zote
Huku samsonareason tunaendelea kukujuza
Pia msaani huyu anapenda Sana kazi yake na anamalengo ya kufika mbali Sana kimziki
Kasha weka list ya wanamziki wakubwa wanaofanya poa Sana kimziki kwa ajiri ya kufanya nao kazi
Nicky versace Ni msanii bingwa Sana na mahili hata katika Kati zake anafanya poa Sana ,style zake , video zake hata usiliazi anao onyesha katika ubunifu wa kazi zake
SAMSONAREASON Soma pamoja nasi
Comments
Post a Comment