Miss Kilimanjaro Baada ya kusubiri kwa mda mrefu Sana hatimaye miss Kilimanjaro aibuka kidedea huku wengi wakiuzungumzia ushindi wake kuwa Ni wa bahati na alistahili ushindi huo Kilimanjaro imekua ikiibuka na miss huyo mahiri na kudai Mara zote huwa hawanyi makosa ,kwani Mara zote miss wao hufanya poa sana
Comments
Post a Comment