Whatsapp kuboreshwa

       
MTANDAO WA KIJAMII KUBORESHWA

Baada ya mtandao wa  kijamii maarufu kwa WhatsApp kuingiliwa na watu wanaochunguza Siri za watu ,kwenye mtandao huu unao aminika Kama Ni salama na wa Siri,
Angalia video hii toka bbc
Mkuu wa uchunguzi wa mitandao ya kijamii abaini kuingiliwa kwa mtandao wa kijamii maarufu Sana WhatsApp kuwa umeingiliwa na watu wanaochunguza taarifa za watu ikiwepo message,call,na video aidha mwanzo walizani mtandao huo. Ni was Siri, mkuu huyo atoa tamko baada ya kuihisi idara ya juu ya maswala ya technologia kuhusika , na tatizo Hilo kurekebishwa

Comments

Popular posts from this blog

Miss Kilimanjaro