kesi za wahujumu uchumi

                                          RAISI APOKEA RIPOTI ZA WAUJUMU UCHUMI
                                                
Raisi magufuli apokea ripoti ya wahujumu uchumi leo jumatatu na kutoa siku saba za watu ambao barua zao zilikwama mkoani 
adai kufurahishwa na kitendo hicho kwani muitikio wake ni mkubwa , na msamaha huo ni wa kweli ni sio wa kumjaribu mtu. lakini atake shikwa sasa na kesi ya uujumu wa uchumi hatahusika na msamaha huo moja kwa moja ataenda jela

Comments

Popular posts from this blog

Miss Kilimanjaro