Posts

Showing posts from June, 2019

MITINDO

Image
moja Kati ya mwanadada maarufu sana ambaye pia Ni mwanamitindo  amekua akifanya poa Sana na kuonekana Kama paparazi ambaye amekua tofauti na wengine pindi anapo tokelezea  Aidha mwanadada huyu mahili aweza kuwa mfano ,kutokana na wengi wanavyo mzungumzia , Pindi mwanadada buyo mwanamitindo aweza washawishi wengi katika mitoko yake ,

El kun na bonge la ngoma "pull over"

Image
                                                    EL KUN AJA NA NGOMA MPYA 👉pull over ♬       Hapa tunamzungumzia el kun Kama mwanamziki mpya anayekuja kwa kasi na sauti ya pekee kwenye gemu , pia mwanamziki huyu aaichia ngoma yake Kali "pull over" ambayo inafanya poa Sana  El kun kwa sauti yake ya mvuto na mahaba ,aonekana kuwa na mashabiki wengi Sana  Shooting ya video yake ya pull over inaonekana kuwa poa Sana hasa wanawake kuonekana kukafa poa Sana kwa kukata viuno kwa ufanisi mkubwa  El kun anafanya  kazi na moja ya bendi inayo fanya poa Sana pia muonekano wake unawavutia watu wengi Sana , na kawaacha watu na maswali mengii!!!                                                    ...

Nicky versace aachia ngoma mpya

Image
Nicky versace aachia ngoma mpya ♬♪♬♫ 7 Moja Kati ya msanii maarufu Sana kwa jina la Nicky Versace aachia ngoma Kali Sana inayo enda kwa jina la wengine wapo  ,msanii huyu anafanya poa Sana  hata ukiangalia ngoma zake za nyuma daaaaaaaaa Cha msingi follow account yake YouTube kisa subscribes update update zote Huku samsonareason tunaendelea kukujuza       Pia msaani huyu anapenda Sana kazi yake na anamalengo ya kufika mbali Sana kimziki Kasha weka list ya wanamziki wakubwa wanaofanya poa Sana kimziki kwa ajiri ya kufanya nao kazi               Nicky versace Ni msanii bingwa Sana na mahili hata katika Kati zake anafanya poa Sana ,style zake , video zake hata usiliazi anao onyesha katika ubunifu wa kazi zake SAMSONAREASON Soma pamoja nasi